Vitimbi vya Mama wa Kambo - Ally Yusufu Mugenzi - Libros - Mkuki Na Nyota Publishers - 9789987084081 - 3 de diciembre de 2020
En caso de que portada y título no coincidan, el título será el correcto

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Ally Yusufu Mugenzi

Precio
€ 30,49

Pedido desde almacén remoto

Entrega prevista 6 - 15 de ene. de 2025
Los regalos de Navidad se podrán canjear hasta el 31 de enero
Añadir a tu lista de deseos de iMusic

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40. Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.

Medios de comunicación Libros     Paperback Book   (Libro con tapa blanda y lomo encolado)
Publicado 3 de diciembre de 2020
ISBN13 9789987084081
Editores Mkuki Na Nyota Publishers
Páginas 162
Dimensiones 129 × 198 × 10 mm   ·   149 g
Lengua Swahili